Muhogo unastahili tahadhari zaidi kati ya yale MAKUBWA MANNE (mazao)
Na Dkt. Eliud Kireger Kuboresha usalama wa chakula nchini kunahitaji mbinu kamili, pamoja na kuangalia vyakula vingine vikuu zaidi ya mahindi, mchele na ngano. Muhogo, zao kuu la tano ulimwenguni ni zao zuri mbadala. Licha ya umuhimu wake kama zao kuu katika usalama wa chakula, linaweza pia kutoa maelefu ya kazi kando ya msururu wa…