VIRCA Plus ni mradi wa ushirikiano wa kuendeleza ulinzi dhidi ya magonjwa ya mhogo na Uboreshaji wa lishe kwa ajili ya Afrika, pamoja na taasisi za washirika nchini Kenya, Nigeria, Uganda na Marekani.

Kenya

Shirika la ISAAA AfriCenter linatoa usaidizi wa wadau.

Kenya

Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo (KALRO)ni shirika lenye kuongoza shughuli zote za kiufundi na majaribio.

Kenya

Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kitropiki (IITA) nchini Kenya inafanya shughuli za utafiti na maendeleo.

Nigeria

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Mazao ya Mizizi (NRCRI) huko Umudike hufanya shughuli za utafiti na maendeleo kuhusu uimarishaji wa mihogo yenye lishe bora ya ‘VIRCA PLUS’.

Nigeria

Shirika la Taifa La Maendeleo ya Bayotekinolojia (NABDA)  linasaidia shughuli za mawasiliano na ufikiaji nchini humo.

Nigeria

Shirika la Nigeria la OFAB  (OFAB) linasaidia shughuli za mawasiliano na ufikiaji nchini humo.

Rwanda

Bodi ya Ukulima Nchini Rwanda (RAB) lina jukumu la kuongoza miradi ya ukulima kwa kusisitiza utumizi wa maarifa ya teknologia na ujuzi wa soko.

Uganda

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Mazao ya Kilimo (NaCRRI) ) ya Shirika la Taifa la Utafiti la Kilimo. (NARO) ndilo shirika lenye kuongoza shughuli zote za kiufundi na majaribio.

Uganda

Ufadhili wa Sayansi wa Maisha na Maendeleo (SCIFODE) linaongoza mawasiliano ya wadau kwa niaba ya mradi huo.

Kimataifa

Kituo cha Sayansi cha Donald Danforth huko St Louis, Missouri, Marekani huratibu mradi wa ‘VIRCA PLUS’ kwa ujumla na hufanya shughuli za msingi za utafiti na maendeleo.

MEDA International
Kimataifa

Shirika la MEDA Limekuwa likitekeleza miradi yakuendeleza na kukuza masoko duniani kote tangu mwaka wa 1953, katika harakati za kubadilisha masoko ya kilimo na kukuza biashara ili kupambana na umaskini.

Wafuasi wa sasa na wa zamani wa VIRCA PLUS na miradi yake ya awali ni pamoja na:

Bayer, (ikiwa ni pamoja na kupitia kwa Mosanto na fedha za Mosanto ambazo walizipata 2018)

Gates Foundation Logo

Ufadhili ni njia ya kugawana gharama na misaada ya fedha ambayo haileti faida yoyote ya kifedha kwa wafuasi.